Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
Mwaka huu umepita kama kivuli aseee mwaka umekuwa mfupi Sana matukio kibao dah ahsante mungu nimeupita salama naamin mwaka kesho nitafanya mengi makubwa mungu atakayonibariki.
Tar kama ya Leo mwakani nitaleta mlejesho.
Tar kama ya Leo mwakani nitaleta mlejesho.