2017 has passed like a shadow

2017 has passed like a shadow

Tajirimsomi

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2017
Posts
4,824
Reaction score
5,587
Mwaka huu umepita kama kivuli aseee mwaka umekuwa mfupi Sana matukio kibao dah ahsante mungu nimeupita salama naamin mwaka kesho nitafanya mengi makubwa mungu atakayonibariki.

Tar kama ya Leo mwakani nitaleta mlejesho.
 
Kila mwaka unavyopita ndivyo unavyozidi kulisogelea kaburi.

Mkuu unazidi kupiga hatua ya kulisogelea kaburi.
 
Back
Top Bottom