2017 nilitembea na mke wa superstar mkubwa bongo bila kujua

Nipo nafuatilia huu uzi kwa makini kbc ila jua nikibaini ni kweli lazima nikudake tu japo mke sitamuacha na picha zako nitaziweka hapahapa kwenye uzi wako.
 
Nipo nafuatilia huu uzi kwa makini kbc ila jua nikibaini ni kweli lazima nikudake tu japo mke sitamuacha na picha zako nitaziweka hapahapa kwenye uzi wako.

Hahahah mkuu km mkeo ndio huyo kwenye hyo profile hata akinivulia sisimami. Hyo starehe yako wew tu jifaidie mwenyewe.
 
Atakua mke wa KINGWENDU maana huyu mgombea wa zamani wa CUF na mcheza bongo movie alikua nje ya nchi na ndio amerudi
 
Kwan wee ulikua single?
 
Msanii uliyefunga ndoa na mchumba wako wa mda mrefu mweupe, unaishi nje na umerudi kula sikukuu umegongewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…