2017 nilitembea na mke wa superstar mkubwa bongo bila kujua

2017 nilitembea na mke wa superstar mkubwa bongo bila kujua

Duh
Hata mumewe akisoma atamjua ni mkewe bila kupepesa macho na wadau wengine.

Unataka kumvunjia ndoa yake?

Wala usihangaike ku edit copy zimeshadakuliwa tayari
Hata huyo mwanaume ameficha sura wakati mgongo wote uko inje
 
Kwani ungeiacha ikabaki siri yako na jamaa yako na huyo mwanamke ungepungukiwa nini mkuu?

Lengo langu sio kumdhalilisha mtu ndio maana sijaweka jina la mtu yeyote hapa, watu wamebaki ku-assume tu ila mwenye uhakika ni mimi mwenyewe. Nimeiandika hapa ili iwe funzo kwa sisi tuliok ktk mahusiano either ndoa au hzi relation za kawaida. Watu wanacheat to the extent that they dont respect their marriages anymore. Ukwel lazma usemwe brother. Mi ningejua ni mke wa mtu nisingepiga maana huwa spend malumbano na wenye ndoa zao.
 
Lengo langu sio kumdhalilisha mtu ndio maana sijaweka jina la mtu yeyote hapa, watu wamebaki ku-assume tu ila mwenye uhakika ni mimi mwenyewe. Nimeiandika hapa ili iwe funzo kwa sisi tuliok ktk mahusiano either ndoa au hzi relation za kawaida. Watu wanacheat to the extent that they dont respect their marriages anymore. Ukwel lazma usemwe brother. Mi ningejua ni mke wa mtu nisingepiga maana huwa spend malumbano na wenye ndoa zao.
Lakini kiongozi kwa jinsi ulivyielezea tu kama muhusika/mwenye mke akipitia huu uzi anaweza unganisha dots na akang'amua kuwa inayezungumziwa ni mke wake na inaweza sababisha ugomvi mkubwa na hata ndoa kuvunjika kitu ambacho kitawaathiri sana watoto
 
Kiunoni kwake kajichora nini maana mademu wa masuperstar kwa kupenda tattoo wanajiweza.
 
Lakini kiongozi kwa jinsi ulivyielezea tu kama muhusika/mwenye mke akipitia huu uzi anaweza unganisha dots na akang'amua kuwa inayezungumziwa ni mke wake na inaweza sababisha ugomvi mkubwa na hata ndoa kuvunjika kitu ambacho kitawaathiri sana watoto

Mfano ww hapo unaweza kuunganisha dot gan unadhani?
 
Hata shika alisema ana mabilion ya pesa urusi soon yanakuja ,,mpk leo simuoni yaani katokomea mitini kabisa [emoji1] hata wewe sikushangai unasema umelala na mke wa superstar kumbe inaweza kuwa asilimia mubwa ya watz ni kick na vioja visivyo na mashiko ofcourse naweza sema hujalala na mke wa superstar then ukaleta hbr za nongwa [emoji85] [emoji85] uwongo huo nakusuta ..

DR .SHIKA
 
Mfano ww hapo unaweza kuunganisha dot gan unadhani?
Mi siwezi maana sikuwa nje ya nchi, sio super star wa bong, sijafunga ndoa hadi mwananchi wakaiandika na heading ikasomeka "Msanii maarufu afunga ndoa na mpenzi wake wa mda mrefu"
 
Jamani eeeh kweli dunia sio mbaya walimwengu ndio wenye vihoja.
Mwishon mwa mwaka jana nilijikuta nafanya mapenz na mke wa superstar mmoja hapa bongo bila kujua.
Ilikua hivi, nakumbuka ilikua siku ya jumamos mwez km wa tisa hv nilikua na mshkaji wangu tukitokea kigambon kuelekea kongowe ndipo tukapaki gar sehem moja kupata lunch sehemu moja ambapo panasifika kwa kuchoma nyama. Wakati tukiwa tunakula pembeni yetu alikaa binti mmoja mzur sana mweupe, mrefu na ana shape iliyovutia kwa “wanaume wa dar” kama mwanaume niliyetimia nilimsalimia yule mdada akaitikia nikamuomba ajiunge na sisi kupata chakula, akaniambia anasubir mwenzie so hawez kujiunga na sisi. Kweli km baada ya dakika 10 hv mwenzie aliwasili kwa bajaji alikua dem flan mweupe ila anaonekana kaongezea na cream. Bas wakawa wako wenyew na sis tuko wenyew ila meza znazokaribiana. Tulikaa pale km lisaa limoja wakat wa kuondoka nikamwambia muhudumu akileta bill anipe karatas na peni, akafanya hvyo so nikaandika namba ya simu then nikamuomba ampelekee yule mdada then tukaaga tukaondoka.
Mnamo kama saa 2 hiv usiku simu yangu iliita nikapokea, nkaiskia saut ya kike kama ilikua ikinifokea “enhe unasemaje” nikamuuliza mbona hata salama hakuna unafoka tu? Kwani wewe ni nani? Akajib pale ulipokula mchana si uliacha namba? Nikajua ni yule binti wa mchana basi mtoto wa kiume nikaunga stor znakaanza nikajarb kumuuliza anaisha wap akaniambia anapoish ila kumbe alikua ananiongopea. Bas nikamuuliza anaish alone, wazaz au kaolewa? Akanijib anaish kwa wazaz bas nikaona si mbaya acha nimlainishe. Bas tukaongea km dakika 10 then akasema amechoka anataka kulala so tukaagana yakaisha.
Ikawa tuna tabia ya kuchat na kuongea as usual, nilikua namuomba sana “parachichi” lakin alikua ananipiga sana chenga na calenda za ajab ajab. Mwezi wa 12 huu uliopita siku moja akanipigia simu kwamba amenimis kumbuka toka siku ile tumeonana pale tulikua hatujaonana tena bas nikamwambia asijal tutaonana akaniambie the next day atakua free so km nina muda tukutane. Siku iliyofuata nikamtafuta mida ya saa 9 hv tukakutana sehem nyingne tu tukapiga sana stor, ile sehem bahat nzur wanahuduma za malazi basi tukakaa sana pale stor za hapa na pal vinywaji na chakula vikawa vinahusika. Ile siku nilifanikiwa kumrubuni akanipa “mzigo” kiwepesi sana mpaka nikajiuliza mbona huyu demu ni mzur halaf mwepes hiv, ila kwa kua bwana kichwa wazi alikua ashachukua nafasi yake ikawa haina budi nikafanya nae mapenz yule mdada. Then usiku kama saa nne kasoro nikampeleka maeneo ambayo aliniambia nimuache hapo lakn sio pale aliponiambia anaish. Nilipomuuliza akasema walikubaliana na brother wake wakutane hapo ili warudi nyumban. Basi nikamwacha hapo nikaondoka zangu.
Siku mbili kabla ya mwaka mpya akanitext akaniambia “choupa moting usinipigie simu mpaka nikupigie” nikashtuka kidogo nikampigia muda huo huo akaniambia ooh unajua aliniongopea yeye kaolewa na mumewe anaish nje ya nchi ispokua wiki hii anarud so hapend amkwaze nikamuuliza mbona uliniongopea akaniomba msamaha poa haina mbaya yakaisha.
Sasa kisanga jana usiku naona whatsapp status kapost picha tatu, mpoja akiwa na huyo superstar wakiwa wamekumbatiana, picha ya pili wakiwa wao wawili na mtoto mmoja na picha ya tatu wanalishana kitu km nyama hv picha zot zilisindikizwa na maneno “ nguzo ya familia yangu, eeh mungu ilinde milele” dah kuchek jamaa namjua halaf ni mtu mkubwa bongo hii miongoni mwa vijana bas faster nikaingia google maana mwanzoni mwa mwaka jana nilipata kuskia jamaa alifunga ndoa. Nikaandika google harusi ya “fulani” asee picha zkaja wakiwa ukumbini na yule demu tena jina la demu ni lile lile mwandish wa gazeti la mwananchi akisema “ fulani kafunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu” duh nikasave picha zote nikamrushia mshkaji wangu niliyekua nae siku ile nikimwambia “dont trust a woman” asee. Nikarudisha akili nyuma ile siku nimemsindikiza pale sehemu usiku kweli ndio maeneo ambayo jamaa anaish.
Wadada heshimuni ndoa zenu jaman hata kama zna visanga ila msiishi kwa njia hzo.
Dah maisha haya. Wadau tuchukue hiz mambo kama mafundisho ktk maisha yetu ya kila siku.
Ms€ng€ unajua kuandika.
 
Duh
Hata mumewe akisoma atamjua ni mkewe bila kupepesa macho na wadau wengine.

Unataka kumvunjia ndoa yake?

Wala usihangaike ku edit copy zimeshadakuliwa tayari
Sasa mnafanya vyogo ili muendelee kuishi kwenye ndoa ??
bora lisanuke
 
Du bado nafikiria huyo msanii atakua nani ...mana nnashauku ya kumjua
 
Mi siwezi maana sikuwa nje ya nchi, sio super star wa bong, sijafunga ndoa hadi mwananchi wakaiandika na heading ikasomeka "Msanii maarufu afunga ndoa na mpenzi wake wa mda mrefu"

Zile zlikua fix kaka. Hakua nje ya nchi wala nn, halaf hyo mwanachi sio kwamba ni kichwa cha habar kiliandika vle isipokua ndan ndio mwandishi alisema amefunga ndoa na mpenz wake wa muda mrefu. So its very difficult to connect dot my brother.
 
Nlikua nasikia eti mwanaume ana kikoromeo kirefu kwa ajili ya kutunza siri ila mwanamke hana, sasa najiuliza wanaume wa siku hizi hamzaliwi navyo?
Au nlikua nadanganywa
 
Back
Top Bottom