2017 nilitembea na mke wa superstar mkubwa bongo bila kujua

Mimi kupitia hii sentensi yako uliyoinukuu kutoka kwenye gazeti la mwananchi: "fulani kafunga ndoa na mchumba wake wa mda mrefu" nina uwezo wa kutupia picha yake hapa!....nitupie picha zake hapa sasa hivi mkuu?[emoji53][emoji53][emoji53]
 
Tupia tu mkuu najua huwez kupatia.
 
[emoji15][emoji15] umempiga yule demu nn mkuu. Maana anayo tatuu flan kiunon alichokichora ndio siwez kukisema.
Yaani hapa mume wake kakutega kidogo tuu na wewe umeingia mtegoni....aiseee
 
Tupia tu mkuu najua huwez kupatia.
Siwezi kupatia nini sasa wakati picha zipo wazi google??.....Kuna mambo mawili umekosea kuyaweka hapa ambayo yakiunganishwa yanasababisha mhusika kujulikana kirahisi sana:

1.Kusema kuwa picha ipo kwenye gazeti la mwananchi

2.Fulani amefunga ndoa na mpenzi wake wa mda mrefu
 
Du bado nafikiria huyo msanii atakua nani ...mana nnashauku ya kumjua
We andika google hivi "msanii afunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu" itakayokuja imefanana na hiyo ndiyo huyo mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Katika maelezo yangu hakuna sehem nimetaja msanii. Nimesema superstar means ni mtu maarufu hapa nchini. Sijataja yupo ktk category gan. So mtajisumbua bure tu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu mbona una hofu sana we tulia tu uone wabongo watakuletea data nzima za huyo bi dada ....ila mm nimeropoka tu hapo kupoteZa malengo ya m-bongo mmoja .
 
Mimi kupitia hii sentensi yako uliyoinukuu kutoka kwenye gazeti la mwananchi: "fulani kafunga ndoa na mchumba wake wa mda mrefu" nina uwezo wa kutupia picha yake hapa!....nitupie picha zake hapa sasa hivi mkuu?[emoji53][emoji53][emoji53]
Mkuu tupia tu uzi ukamilike au unangoja ruhusa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom