Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
ingiza hii sentensi google utaiona picha yake kwenye gazeti la mwananchi:...."amefunga ndoa na mpenzi wake wa mda mrefu"!Hahaha sasa umegoogle kwa jina gan?
Mimi kupitia hii sentensi yako uliyoinukuu kutoka kwenye gazeti la mwananchi: "fulani kafunga ndoa na mchumba wake wa mda mrefu" nina uwezo wa kutupia picha yake hapa!....nitupie picha zake hapa sasa hivi mkuu?[emoji53][emoji53][emoji53]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Mwaka jana mmh sio Mwana FA???[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani hapa mume wake kakutega kidogo tuu na wewe umeingia mtegoni....aiseee[emoji15][emoji15] umempiga yule demu nn mkuu. Maana anayo tatuu flan kiunon alichokichora ndio siwez kukisema.
Huyu ni mwanaume wa Dar labda ndo maana kikoromeo kirefu hakipo!Nlikua nasikia eti mwanaume ana kikoromeo kirefu kwa ajili ya kutunza siri ila mwanamke hana, sasa najiuliza wanaume wa siku hizi hamzaliwi navyo?
Au nlikua nadanganywa
Siwezi kupatia nini sasa wakati picha zipo wazi google??.....Kuna mambo mawili umekosea kuyaweka hapa ambayo yakiunganishwa yanasababisha mhusika kujulikana kirahisi sana:Tupia tu mkuu najua huwez kupatia.
We andika google hivi "msanii afunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu" itakayokuja imefanana na hiyo ndiyo huyo mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Du bado nafikiria huyo msanii atakua nani ...mana nnashauku ya kumjua
We andika google hivi "msanii afunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu" itakayokuja imefanana na hiyo ndiyo huyo mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu mbona una hofu sana we tulia tu uone wabongo watakuletea data nzima za huyo bi dada ....ila mm nimeropoka tu hapo kupoteZa malengo ya m-bongo mmoja .Katika maelezo yangu hakuna sehem nimetaja msanii. Nimesema superstar means ni mtu maarufu hapa nchini. Sijataja yupo ktk category gan. So mtajisumbua bure tu
Mkuu tupia tu uzi ukamilike au unangoja ruhusa [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi kupitia hii sentensi yako uliyoinukuu kutoka kwenye gazeti la mwananchi: "fulani kafunga ndoa na mchumba wake wa mda mrefu" nina uwezo wa kutupia picha yake hapa!....nitupie picha zake hapa sasa hivi mkuu?[emoji53][emoji53][emoji53]
AY hajaoa, uyo ni mke wa AY
Yaani huyu kijana ni boya sana, anafikiri huku anapita na marafiki zake tuu, aisee wadada angalieni na wanaume wa kuwavulia chupikweli aisee .ukimpa dogo papuchi lazima aje kusema