DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
Hapo ndo inabidi niagize popcorn ili niendelee kubeti Germany bingwa msimu huu ndg.
well said, naunga mkono hoja.Ulie leta huu uzi umeharakisha sana sijuh ulikuwa unahofia kwamba kuna mtu atakuwahi kuweka.! Huu sio uzi wa kuitwa Special Thread kwasababu hujazingatia vigezo. Ilipaswa utulie uandike kwa urefu, utangulizi ni muhimu mfano utwambie ni timu ngapi zinashiliki, timu kutoka Afrika nizipi na kila kitu kilicho muhimu katika mashindano hayo. Sio unakimbia kuandika tu inimladi uonekane tu na ww umeweka thread. Aya edit huo uzi wako kwa ufanisi na ufasaha. Kama hujui pitia kwenye Special Thread zilizo humu uchukue uzoefu kisha uje uandike vizuri.
Team Argentina pigaa keleleeeeeeeeee
Ndio mkuu, kwani ww unahis vp?SAMAHANI,hivi Misri anaiwakilisha Afrika au,!?.
We ni me au ke?Kama uwanja utakuwa hujainama naipa nafasi Misri kutwaa kombe la dunia
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Kwani je?We ni me au ke?
Hizo emoji ndio je?Kwani je?
Zimekuwaje jiraniHizo emoji ndio je?
Kombe la Dunia la FIFA kwa mwaka huu (2018) litafanyika nchini Urusi,
Ambapo mechi ya ufunguzi itapigwa tarehe 14 ya mwezi Juni kati ya Wenyeji Urusi na Saudi Arabia.,..
Welcome to this thread kujadili mambo yote kuhusu "FIFA World Cup 2018"!
Wanatumia ke sio meZimekuwaje jirani
SawaWanatumia ke sio me
Anafikiri kikosi cha Germany bado ni kilekile, Germany ni motoooKivipi wale unawalenganixha na nchi gani tena na ujue xio history tu bali mfuatiliaji wa soka la Germany kwa ujumla na mpenzi wa Bayern Munich
Ahsante mkuu nilijua kuwa nitafanya hivyo baada ya muda,ila una matatizo ya "l"kwenye "r"Ulie leta huu uzi umeharakisha sana sijuh ulikuwa unahofia kwamba kuna mtu atakuwahi kuweka.! Huu sio uzi wa kuitwa Special Thread kwasababu hujazingatia vigezo. Ilipaswa utulie uandike kwa urefu, utangulizi ni muhimu mfano utwambie ni timu ngapi zinashiliki, timu kutoka Afrika nizipi na kila kitu kilicho muhimu katika mashindano hayo. Sio unakimbia kuandika tu inimladi uonekane tu na ww umeweka thread. Aya edit huo uzi wako kwa ufanisi na ufasaha. Kama hujui pitia kwenye Special Thread zilizo humu uchukue uzoefu kisha uje uandike vizuri.