2018 FIFA World Cup: Yaliyojiri upangaji wa makundi ya Kombe la Dunia

2018 FIFA World Cup: Yaliyojiri upangaji wa makundi ya Kombe la Dunia

Hapo ndo inabidi niagize popcorn ili niendelee kubeti Germany bingwa msimu huu ndg.

Sina sababu ya kukupinga ndugu,, Mpo vizuri sana,, ninawakubali. Japo kwa Argentina hope watafanya vizuri pia. Tuombe uzima ti
 
Ulie leta huu uzi umeharakisha sana sijuh ulikuwa unahofia kwamba kuna mtu atakuwahi kuweka.! Huu sio uzi wa kuitwa Special Thread kwasababu hujazingatia vigezo. Ilipaswa utulie uandike kwa urefu, utangulizi ni muhimu mfano utwambie ni timu ngapi zinashiliki, timu kutoka Afrika nizipi na kila kitu kilicho muhimu katika mashindano hayo. Sio unakimbia kuandika tu inimladi uonekane tu na ww umeweka thread. Aya edit huo uzi wako kwa ufanisi na ufasaha. Kama hujui pitia kwenye Special Thread zilizo humu uchukue uzoefu kisha uje uandike vizuri.
well said, naunga mkono hoja.
 
Kama uwanja utakuwa hujainama naipa nafasi Misri kutwaa kombe la dunia
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Kombe la Dunia la FIFA kwa mwaka huu (2018) litafanyika nchini Urusi,
Ambapo mechi ya ufunguzi itapigwa tarehe 14 ya mwezi Juni kati ya Wenyeji Urusi na Saudi Arabia.,..
Welcome to this thread kujadili mambo yote kuhusu "FIFA World Cup 2018"!

Unaonaje uki-update thread kwa kuweka makundi kabisa, ikibidi ratiba za mechi kadhaa za ufunguzi etc.
 
Kivipi wale unawalenganixha na nchi gani tena na ujue xio history tu bali mfuatiliaji wa soka la Germany kwa ujumla na mpenzi wa Bayern Munich
Anafikiri kikosi cha Germany bado ni kilekile, Germany ni motooo
 
Kombe la dunia la mwaka huu litakuwa lenye matukio mengi ya racism kuliko fainali zote za hivi karibuni. Bookmark this comment!
 
Ulie leta huu uzi umeharakisha sana sijuh ulikuwa unahofia kwamba kuna mtu atakuwahi kuweka.! Huu sio uzi wa kuitwa Special Thread kwasababu hujazingatia vigezo. Ilipaswa utulie uandike kwa urefu, utangulizi ni muhimu mfano utwambie ni timu ngapi zinashiliki, timu kutoka Afrika nizipi na kila kitu kilicho muhimu katika mashindano hayo. Sio unakimbia kuandika tu inimladi uonekane tu na ww umeweka thread. Aya edit huo uzi wako kwa ufanisi na ufasaha. Kama hujui pitia kwenye Special Thread zilizo humu uchukue uzoefu kisha uje uandike vizuri.
Ahsante mkuu nilijua kuwa nitafanya hivyo baada ya muda,ila una matatizo ya "l"kwenye "r"
 
Labda mwaka inaweza kutokea miujiza kwa team zetu za Afrika kuingia Robo au Nusu fainali
 
Back
Top Bottom