Ulie leta huu uzi umeharakisha sana sijuh ulikuwa unahofia kwamba kuna mtu atakuwahi kuweka.! Huu sio uzi wa kuitwa Special Thread kwasababu hujazingatia vigezo. Ilipaswa utulie uandike kwa urefu, utangulizi ni muhimu mfano utwambie ni timu ngapi zinashiliki, timu kutoka Afrika nizipi na kila kitu kilicho muhimu katika mashindano hayo. Sio unakimbia kuandika tu inimladi uonekane tu na ww umeweka thread. Aya edit huo uzi wako kwa ufanisi na ufasaha. Kama hujui pitia kwenye Special Thread zilizo humu uchukue uzoefu kisha uje uandike vizuri.