Uoga wako kutokana na dhana potofu ya utandawazi(eti maisha ni magumu)Broo, Watoto watano nawaona wengi sanaaa asee, nafikiri kama mzee wangu angekua na watano sahiv wa mwisho nadhani angekua form 1
Uoga wako kutokana na dhana potofu ya utandawazi(eti maisha ni magumu)
Maisha sio magumu, binadamu ndio wagumu.
Kila kiumbe kilichopo humu Duniani kila riziki yake, na hauwezi kuzui riziki ya mwenzio.
Swali: Wewe kwenye familia yenu ni mtoto wa ngapi?
Una bahati sana kuwa first born, I wish ungekuwa mtoto wa 4[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahaha daahh, 1 and tuko 3, Two Men and a girl
Una bahati sana kuwa first born, I wish ungekuwa mtoto wa 4[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Inategemeana na unaharibu vipi..Sema wa 1 ukiharibu ni kama behewa la treni, yanayokuja huko ni mtifuano
Hahahaha sawaBasi wewe uwe mjukuu wangu wa hiari. Na ninafuraha sana kuwa nitaishi muda mrefu hadi kuona my biological wajukuu,vitukuu,vilembwe n.k.Positivity is my motto. Nakushukuru kwa kunitabiria mema. Kuitwa bibi ni baraka. Say Amen.
Hahaha alisha choropoa nyingi shule mayai hana😝😝😝[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nakushauri tu kama upo interested na serious na watoto, jitahidi uzae ukiwa below 40.
Mara nyingi huwa tunaingiza concept ya kusema kuwa maisha ni magumu na tunaamua kuzaa mtoto 1 au 2 tu, huku tukisahau umuhimu wa hao watoto hasa pindi tufikapo uzeeni.
Idadi nzuri ya watoto ni kuanzia watano. Raha yake utaipata tena endapo ukifanikiwa kuwalea vizuri na kuwatimizia mahitaji yao na kufikia ndoto zao.
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Hahaha alisha choropoa nyingi shule mayai hana[emoji13][emoji13][emoji13]
Mimi pia leo nawapa Cameroun. Ingawa sitegemei kuona mechi kali kutoka kwa hizi team mbili.Fikisha 5, hapo ndio utaukonga moyo wangu, maana ndoto yangu ni kuwa na watoto kuanzia 5
Back to our AFCON, Super Eagles na IndomitableLions ni mechi ngumu, ila karata yangu nimeitupa kwa Indomitable Lions.
Nina mayai mengi utafikiri ndo kwanza nina 18yrs old. Wewe una msanga na mimi utafikiri nimekuzaa mweh.Hahaha alisha choropoa nyingi shule mayai hana😝😝😝
Nigeria naye hamna lolote. Anaswampaswampa tu.Ladha ya mpira inaenda inapungua. Tim kubwa zikitolewa siangalii tena.
Senegal
Algeria
Nigeria
Egypt
Tunisia
Wakitolewa hawa, naacha kuangalia
Kwakweli.Yani ivory ndio wachovu kabisa bora hata egypt na senegal 🤣🤣🤣🤣
Mkuu hivi huyo cookie kwa mtazamo wako atakua me au ke?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Cookie pitisha jambia fasta kwenye shingo yake
Relax, wagombanao ndo wapatanao ila ukizingua sikuachi😂😂Nina mayai mengi utafikiri ndo kwanza nina 18yrs old. Wewe una msanga na mimi utafikiri nimekuzaa mweh.
Niliwahi kusikia ni Ke ila sijaproveMkuu hivi huyo cookie kwa mtazamo wako atakua me au ke?
Hahaha kama ni ke itabidi nitulie hapo kuepuka ban za kiboya boyaNiliwahi kusikia ni Ke ila sijaprove
@SaaMbovu umeiona Morocco yako nilikuambia hawana mpira wa maanaMorocco mbona wepesi sana ungeniambia hata Algeria ningekuelewa