2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Broo, Watoto watano nawaona wengi sanaaa asee, nafikiri kama mzee wangu angekua na watano sahiv wa mwisho nadhani angekua form 1
Uoga wako kutokana na dhana potofu ya utandawazi(eti maisha ni magumu)

Maisha sio magumu, binadamu ndio wagumu.

Kila kiumbe kilichopo humu Duniani kina riziki yake, na hauwezi kuzui riziki ya mwenzio.

Swali: Wewe kwenye familia yenu ni mtoto wa ngapi?
 
Uoga wako kutokana na dhana potofu ya utandawazi(eti maisha ni magumu)

Maisha sio magumu, binadamu ndio wagumu.

Kila kiumbe kilichopo humu Duniani kila riziki yake, na hauwezi kuzui riziki ya mwenzio.

Swali: Wewe kwenye familia yenu ni mtoto wa ngapi?

Hahaha daahh, 1 and tuko 3, Two Men and a girl
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Nakushauri tu kama upo interested na serious na watoto, jitahidi uzae ukiwa below 40.

Mara nyingi huwa tunaingiza concept ya kusema kuwa maisha ni magumu na tunaamua kuzaa mtoto 1 au 2 tu, huku tukisahau umuhimu wa hao watoto hasa pindi tufikapo uzeeni.

Idadi nzuri ya watoto ni kuanzia watano. Raha yake utaipata tena endapo ukifanikiwa kuwalea vizuri na kuwatimizia mahitaji yao na kufikia ndoto zao.
Hahaha alisha choropoa nyingi shule mayai hana😝😝😝
 
Fikisha 5, hapo ndio utaukonga moyo wangu, maana ndoto yangu ni kuwa na watoto kuanzia 5

Back to our AFCON, Super Eagles na IndomitableLions ni mechi ngumu, ila karata yangu nimeitupa kwa Indomitable Lions.
Mimi pia leo nawapa Cameroun. Ingawa sitegemei kuona mechi kali kutoka kwa hizi team mbili.
 
Back
Top Bottom