Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Uoga wako kutokana na dhana potofu ya utandawazi(eti maisha ni magumu)Broo, Watoto watano nawaona wengi sanaaa asee, nafikiri kama mzee wangu angekua na watano sahiv wa mwisho nadhani angekua form 1
Maisha sio magumu, binadamu ndio wagumu.
Kila kiumbe kilichopo humu Duniani kina riziki yake, na hauwezi kuzui riziki ya mwenzio.
Swali: Wewe kwenye familia yenu ni mtoto wa ngapi?