Bora wamesawazisha. Duh.Kama jana moyo ulikuwa unaenda mbio sana kama Bolt
Wamefanya tayari Stephen kaokoa jahaziCameroon kuanzia mechi ya kwanza walionyesha mchezo mbovu, ila lazima wazinduke maana nao ni ball possessors wazuri ila siwapi nafasi sana
Etoo amekaa karibu na Kanu. Etoo anavunga kutokushangilia. Najua moyoni anafurahia.
Mimi nimeruka ruka na makelele juu. Yaani we acha tu. Etoo yeye atashangilia baada ya mechi kuisha kama watashinda. Sasa hivi kaingia changing room kuwatia moyo vijana.Yaani wewe umemzidi hata Etoo 😀😀😀
Ht:Nigeria 1-2 Cameroon
Umebet bei gani? Egypt hiyo rahisi. Egypt anashinda.Cameroon ashinde tu nibakize Egypt
20k timu 1 tayari kabaki Cameroon na Misri nipate 165000Umebet bei gani? Egypt hiyo rahisi. Egypt anashinda.