Narudia tena hii ndio Egypt mbovu kuliko zote niliwahi kuishuhudia mimi.Kwanini usiseme South Africa ndio wazuri zaidi tu mkuu ?
ChukiHaya maarabu ni ya kuondoa yote
Jana benini imeniondolea moja, s.afrika aondoe lingine .
Nayakubaligi sana machezaji ya namna yake hayana ubishoo kazi kazi ana nidhamu mnoAhaaaa mkuu umenichekesha sana.. Huyo mzee wa kuchomekea (Mothiba) tulikua tunamjadili hapa kavaa mkanda au... Hadi mpira ulivyoisha bado kachomekea.
Yah mkuu...hongera Kwa sauzi..Mafarao ndio walikuwa wanapewa nafasi kuchukua ubingwa!Jamaa hawaamin kama wametolewa na mzuru
Hata Algeria basi ana kazi
South Africa wana rekodi nzuri sana wanapokutana na timu za kiarabu,pongezi kwao wamefanya kazi nzuri.Kwanini usiseme South Africa ndio wazuri zaidi tu mkuu ?
Algeria ni mgumu saana....tena saana.Yah mkuu...hongera Kwa sauzi..Mafarao ndio walikuwa wanapewa nafasi kuchukua ubingwa!
Amenikumbusha Parker wa Spurs miaka hiyoS.A kuna wachezaji wana nidhamu wamechomekea muda wote
Hii ni EGYPT mbovu niliwahi kuishuhudia kuliko zote
Mi nilijua mapema sana kuwa hawa mafiraun lazima iondoke mapema sanampira unamaajabu yake mkuu nani angedhani kama sA angewalaza bila viatu mafarao