2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Aman kwenu wote

Algeria ndo bingwa wa Afcon apewe kombe lake mapema sana

Maana atampiga nigeria kwenye fainal
 
Sasa majukwaa yatakua yana watu wachache..unless timu zitakazoingia fainali wanachi wa nchi husika watakuja na ndege kuzishangilia timu zao
 
mpira unamaajabu yake mkuu nani angedhani kama sA angewalaza bila viatu mafarao
 
Back
Top Bottom