2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Imeshindakana,ndo washapita. Watatolewa na Egypt huko robo fainali.
Una gundu wewe loh! Jiwe walilolikataa waashi sasa limekuwa jiwe kuu.

Ulianza kumponda Benin kakuonyesha maajabu kwa kuitoa club yako pendwa Cameroon.
Ukahamia kwa Egypt kapigwa K.O 😂😂

Najua bado uko na Senegal sasa subiri uone hao wazee wa gundu wanasepa semi final
 
Huenda umri nao ushamtupa, hajaitwa kwenye hichi kikosi..

Alitamba sana FIFA WC 2010 kwenye ardhi yao
Anajitahidi sana kwenye club yake makeke yake hayajapotea ila sifa za kuwa national team hana ni sawa na mwenzake wa Ghana tu Gyan analazimisha ila hali si hali
 
Waarabu imetosha sasa
Jana jamangu nilimwambia Benin anashinda akabisha.
Leo mapema tuu watoto wa Mandela wamefanya kweli
Ondoa waarabu wote hao shenzy zao
 
Kwa kweli Pesa ndio kila kitu wasouth walipoingia tu kwenye zile best bora kila mchezaji kaingiziwa R370, 000 kwenye acc yake na wameahidiwa wakichukua kombe afcon timu it apewa 20ml, usishangae Leo kuwafunga Egypt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…