Dripboy
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 3,178
- 4,609
Timu ya CR7 hahaha UrenoIlikuwa nchi gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu ya CR7 hahaha UrenoIlikuwa nchi gani?
hata mimi nafikiria hivyo,wabaguzi wale hawatakanyaga uwanjaSasa majukwaa yatakua yana watu wachache..unless timu zitakazoingia fainali wanachi wa nchi husika watakuja na ndege kuzishangilia timu zao
Yanga ya mwaka juzi.Hii Bafana Bafana au ni Brazil ?
Tunisia atatolewa na Ghana jumatatuNi kichaa pekee ndio aliwapa nafasi misri kuchukua kombe, mara mia ungesema Algeria, hata huyo Tunisia hafiki popote,
inasikitisha sana,tusubirie mechi ya algeria watakuwepo..........Kilicho niuma ni wale mademu wa Egypt tu hatutawaona tena dah
Una gundu wewe loh! Jiwe walilolikataa waashi sasa limekuwa jiwe kuu.Imeshindakana,ndo washapita. Watatolewa na Egypt huko robo fainali.
Tshabalala naye kaishia wapi?Amenikumbusha Parker wa Spurs miaka hiyo
Anacheza Turkey huko kama sikosei ni RizesporTshabalala naye kaishia wapi?
Huenda umri nao ushamtupa, hajaitwa kwenye hichi kikosi..Anacheza Turkey huko kama sikosei ni Rizespor
Anajitahidi sana kwenye club yake makeke yake hayajapotea ila sifa za kuwa national team hana ni sawa na mwenzake wa Ghana tu Gyan analazimisha ila hali si haliHuenda umri nao ushamtupa, hajaitwa kwenye hichi kikosi..
Alitamba sana FIFA WC 2010 kwenye ardhi yao
MhUmebet bei gani? Egypt hiyo rahisi. Egypt anashinda.
Khaaaaa, sasa hivi unasema unajisikia raha Egypt kufungwa....Umebet bei gani? Egypt hiyo rahisi. Egypt anashinda.
Nope...Racist !!!!