2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Wakati mashindano yanaanza nilikuwa na fikra ya kuwa Senegal ndo bingwa wa Afcon hii.
Kwa yanayoendelea sasa napata imani kuwa hili kombe anaweza chukua aliyepita kama best loser,na naenda kwa DRC Congo...
 
Acha mipasho kama unaimba taarabu,usituletee racism kwenye michezo,dunia inakwenda mbele wewe unarudi nyuma!! u are just a racist,hilo ni kombe la Africa na Africa ni moja bila kujali skin colour wala dini.
Wewe jamaa una matatizo gani!???
kwahiyo wapi hapo nimefanya racism???
Tuache ujinga watu weusi...
Wapi nimeigawanya hiyo Africa??
Mimi nimetoa utabiri wangu kama walivyotoa wengine sasa racism imeingiaje hapa??

Haya basi Algeria atachukua kombe umeridhika???
 
Mkuu naona kweny kubet umepaisha kabisa;bora ungepiga mwamba
 
Mpaka sasa best loser wawili washapita robo na si ajabu Congo naye akavuka japo mpira unadunda.

South Africa na Benin.
 
Huna akili ya kuelewa nilichokiandika,ukikua utakua kukumbuka nilichokwambia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…