Unajua mechi haieleweki.....wote wanakimbizana na mipira wakifika golini hooola...Matumaini yapo upande upi ukiangalia upepo unavyovuma huko
Mali wanashinda hii game.Unajua mechi haieleweki.....wote wanakimbizana na mipira wakifika golini hooola...
Yeyote atalizwa...kama ume bet kuwa mpole.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Coach wa Ivory Coast anamwonekano kama kada wa ccm.
Mali wananiangusha kama Morocco na EgyptIvory Coast wamebadirika sana kipindi cha pili Mali wasipokuwa makini watapigwa na la pili
Mkuu ulitegemea Ivory Coast apigwe na Mali???Mali wananiangusha kama Morocco na Egypt
Ndio mkuu japo sikushuhudia mechi hata moja ya Mali hatua za makundiMkuu ulitegemea Ivory Coast apigwe na Mali???
Hahahahahahahahah Mkuu MALI amtoe Ivory CoastMali wananiangusha kama Morocco na Egypt
Ivory coast wameshinda.Mali wanashinda hii game.
Ivory Coast wamepita
Hongera zao.Ivory coast wameshinda.
HahahahMali wananiangusha kama Morocco na Egypt
Daaaaauhh, Tesla_am back sijui yuko wapi...Hahahah
Nmecheka kifala sana
[emoji28][emoji28][emoji28]
Mkuu usibet afcon kuna ndumba za hatari !! [emoji28][emoji28][emoji41]