Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Melo ka uplift ban yanguDaaaaauhh, Tesla_am back sijui yuko wapi...
Yeah, wafanyakazi wao watano jumlisha na wawili waliowakodi wamededi kwenye ajali, pia wengine mahututiWrite your reply...
dah leo hapa uhai tv chanel ya azam naona wanapiga gospel kuna msiba eti
mwenye update anijuze
tehtehMelo ka uplift ban yangu
Walinionea ! Hao mods wenu , kaniomba na msamaha [emoji28][emoji28]
Tumtafute huyo jamaa tesla am back , vipi ni mtata sana huyo jamaa ?
Ipo extra time kipindi cha kwanza kimeisha sasa hiviGame ya Tunisia imeishaje?
Alisemaje mkuu
Duuuuhhh, buriani mkeka wangu.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]tehteh
mtata sana kakimbia na denti za watu
ukimpata mwambie arudishe denti zetu,,,
haiwezekani akimbie na denti zetu..............
Hivi ghana ugonjwa wao wa kukosa penalt walirogwa na nani
Penalties| Ghana 4:5 Tunisia Afcon 2019
Hata hivyo timu ya Ghana siyo nzuri sana.Hivi ghana ugonjwa wao wa kukosa penalt walirogwa na nani