2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Ivi hawa marefa wa pembeni hawawezi kumuambia makosa kama hayo aliyoyapotezea?

Au wao wanaangalia offside tu?

Ukiangalia waafrika wangapi tunapewa nafasi kuendesha/kureferee world cup majibu yanapatika haps
 
Nami naona hivyo ila kipindi cha pili naona Tunisia wameanza kwa kasi sana, sijui nini kitatokea
 
Sliti ni aina ya binadamu wachoyo saana...anataka aachwe acheze peke yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…