2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Hiyo habari ya movie zilizotafsiriwa usije ukaiongea mbele ya wanawake wa kiswahili. Ukiwanyima hizo asubihi kama hii ukiomba mzigo utaambiwa....kichwa au tumbo linaniuma

Hata mimi yananikera sana sijui kwa sababu ya kupiga umande kidogo enzi hizo. Eti huwa naona shombo wanavyo tafsiri. Kisembuzi cha Azam imebidi nikiweke rikizo ya kula vumbi tu sasa.
 
Hata mimi yananukera sana sikuji kwa sababu ya kupiga umande kidogo. Eti huwa naona shombo wanavyo tafsiri. Kisembuzi cha asam imebidi nikioe rekizo ya kula vumbi tu sasa.
Mpiga umande anaandika
 
We nae ndio mawazo yako hayo kila siku. PM si ipo kama kuna la zaidi.

Wacha mawazo hayo Mkuu. Sababu leo si mara ya kwanza. Hivyo kila ninayecheka naye tu kuna something else. Lol
Ni wa kumpuuza tu maana nakumbuka alishawahi kukuuliza kuhusu mimi pia

Yaelekea anakufatilia kwa karibu πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Fainali itakuwa ya upande mmoja Senegal hawataleta upinzani kabisa ukizingatia na Kulibaly atakosa hiyo gemu watapigwa si chini ya chuma 2,ivory cost na Nigeria walikuwa bora kuliko Senegal bahati mbaya kwao wakikutana na Algeria wanayo njaa na wanaupiga mwingii
 
Amka toka ndotoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…