2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Hiyo habari ya movie zilizotafsiriwa usije ukaiongea mbele ya wanawake wa kiswahili. Ukiwanyima hizo asubihi kama hii ukiomba mzigo utaambiwa....kichwa au tumbo linaniuma

Hata mimi yananikera sana sijui kwa sababu ya kupiga umande kidogo enzi hizo. Eti huwa naona shombo wanavyo tafsiri. Kisembuzi cha Azam imebidi nikiweke rikizo ya kula vumbi tu sasa.
 
Hata mimi yananukera sana sikuji kwa sababu ya kupiga umande kidogo. Eti huwa naona shombo wanavyo tafsiri. Kisembuzi cha asam imebidi nikioe rekizo ya kula vumbi tu sasa.
Mpiga umande anaandika
 
Fainali itakuwa ya upande mmoja Senegal hawataleta upinzani kabisa ukizingatia na Kulibaly atakosa hiyo gemu watapigwa si chini ya chuma 2,ivory cost na Nigeria walikuwa bora kuliko Senegal bahati mbaya kwao wakikutana na Algeria wanayo njaa na wanaupiga mwingii
 
FB_IMG_15631771784620666.jpeg
 
Fainali itakuwa ya upande mmoja Senegal hawataleta upinzani kabisa ukizingatia na Kulibaly atakosa hiyo gemu watapigwa si chini ya chuma 2,ivory cost na Nigeria walikuwa bora kuliko Senegal bahati mbaya kwao wakikutana na Algeria wanayo njaa na wanaupiga mwingii
Amka toka ndotoni
 
Back
Top Bottom