Oyaaa majomba mwera hao
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 290
- 424
Inshaallah! Kesho tutafanya vyema!Jamaa wako vizuri sana wanacheza kwa nidhamu, wana kasi na wanajiamini.
Hope na sisi kesho tutafanya zaidi ya hiki tunachokiona kwa Burundi
Nakuhakikishia kwamba, Stars kesho wanang'aaYaan Burundi ,Uganda wamekuja vzr
Tz kesho subiria butua butua na kipigo juu
Pamoja mkuuInshaallah! Kesho tutafanya vyema!
Huijui starz ya amunike wewe,kwanza atajaza mabeki watupu ,subir uoneNakuhakikishia kwamba, Stars kesho wanang'aa
Kwani Amunike atakuwa ndani ya uwanja? waite wachezaji wetu mara nne. Ila naamini tutafanya vizuri tuAmunike Amunike Amunike nimekuita mara tatu, hatutaki aibu ya butua butua
Mkuu nimepishana na pesa hapa
Yaan Burundi ,Uganda wamekuja vzr
Tz kesho subiria butua butua na kipigo juu
Nawewe una-qoute watu kwa nn....kama hukipendi ki2 huna haja ya kukiongelea ...kuna wenzako wanakikubali japo hata kama kibovu....ww kama unaichukia stars piga chini mzee njoo kesho ushabikie Senegal...Aliekutuma uniquote ni nani?? Ungepita kimya kimya kama imekuuma sana
Huijui starz ya amunike wewe,kwanza atajaza mabeki watupu ,subir uone
Kesho tunaweza kupigwa 5+
Nawewe una-qoute watu kwa nn....kama hukipendi ki2 huna haja ya kukiongelea ...kuna wenzako wanakikubali japo hata kama kibovu....ww kama unaichukia stars piga chini mzee njoo kesho ushabikie Senegal...
Taifa stars hata kupiga pasi 10 ni mgogoro hahahahahahahahahHutoamini nakuambia
Huenda kesho tukawashangaza walimwengu.Hutoamini nakuambia