2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Kuna haya maelezo mengi ya kuwa Taifa stars kufuzu tu ni hatua kubwa na kwamba inatosha, kwa maoni yangu naona yanawafanya wachezaji wetu wabweteke na kuona hakuna umuhimu wa kushinda.
 
Aliekutuma uniquote ni nani?? Ungepita kimya kimya kama imekuuma sana
Nawewe una-qoute watu kwa nn....kama hukipendi ki2 huna haja ya kukiongelea ...kuna wenzako wanakikubali japo hata kama kibovu....ww kama unaichukia stars piga chini mzee njoo kesho ushabikie Senegal...
 
Ndio maana kuna jukwaa la timu mbali mbali kijana, hili ni jukwaa la mpira thread ya AFCON hakuna thread ya kila timu

Kila mtu mwenye dukuduku lake na timu anasema humu ndani ya thread hii
 
Kwa wakamaria burundi kapewa odds 6+ ,nigeria 1.54. Waliwadharau sana,
 
Back
Top Bottom