2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Ndugu zangu hata kama una mtoto mtukutu namna gani huwezi furahi mabaya yampate, japo utaonyesha furaha ya uso ila ndani ya moyo ni maumivu

Hii Taifa Stars bwana kuishabikia unahitaji moyo wa kumkabili Simba mwenye njaa ndani ya pori
 
Naomba kumjua aliyemuita manula ni Tanzania one[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Yule mtu wa hovyo hovyo aliyevaa jezi ya Brazil ktk World Cup mbona hatumuoni na jezi ya Taifa stars?
 
1. Kocha hajui kupanga kikosi na wala haja train wachezaji.. nadhani alikua anawapeleka mazoezi na yeye ana kaa pembeni kusubiri kuwarudisha hotelini.


2. Wachezaji wengi ni wazito kufanya maamuzi. Kukaa na mpira bila kuangalia fursa zilizopo azitumie.

3. Wachezaji wengi wanatamani kucheza kistar wakati uwezi wao ni ligi ya mchangani.

4. Wachezaji wengi hawajui kupiga pasi.. sijui miguu inatetemeka?

5. Wachezaji wengi hawaji amini.


Ushauri.. wasikate tamaa.. bado tuna nafasi. Leo ndio nimeona Mungu yupo na watanzania maana tulitakiwa tupigwe 10-0.
 
tumshukuru manula
 
Nafikiri tatizo ni WEMA SEPETU kukosekana uwanjani kama muhamasishaji
 
Ni kweli kabisa.. ccm wanatamani kila kitu kiwe chao na ndio wanaharibu.

Mfano mwingine ukiacha taifa stars ni atcl.

Na TTCL...na mengine mengi...mbele wanatanguliza neno CCM wakati ni mali yetu wote kwa kodi zetu sisi!

Wanakosea sana...watakosa support ya umma wote maana tuna itikadi tofauti!

Michezo waiache,waiendeshe kwa sura ya kitaifa bila siasa ya vyama ndani...

Walivyo sikio la kufa,hawatakaa waelewe chochote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…