Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamtoa Msuva mchezaji anaecheza kwa kutumia akili unamuingiza Ulimwengu mzee wa manguvu unataka nini
Ana pombe nyingi kichwani... Kazuiliwa ingia uwanjani...Hapa tushalala. Watuoneshe pierre yukoap mbn haonekan
Manula kacheza vizuri sana, magoli mawili hakuna makosa aliyofanya.Naomba kumjua aliyemuita manula ni Tanzania one[emoji125][emoji125][emoji125]
Sema ni makosa ya timu ya CCM...!
CCM waliamua kuipora na kuigeuza ni yao,hivyo ni vizuri waendelee nayo!
tumshukuru manula1. Kocha hajui kupanga kikosi na wala haja train wachezaji.. nadhani alikua anawapeleka mazoezi na yeye ana kaa pembeni kusubiri kuwarudisha hotelini.
2. Wachezaji wengi ni wazito kufanya maamuzi. Kukaa na mpira bila kuangalia fursa zilizopo azitumie.
3. Wachezaji wengi wanatamani kucheza kistar wakati uwezi wao ni ligi ya mchangani.
4. Wachezaji wengi hawajui kupiga pasi.. sijui miguu inatetemeka?
5. Wachezaji wengi hawaji amini.
Ushauri.. wasikate tamaa.. bado tuna nafasi. Leo ndio nimeona Mungu yupo na watanzania maana tulitakiwa tupigwe 10-0.
Ni kweli kabisa.. ccm wanatamani kila kitu kiwe chao na ndio wanaharibu.
Mfano mwingine ukiacha taifa stars ni atcl.