Mimi naona mlio wengi munalaum CCM, mnafikiri kwa kariba ya wachezaji tulionao hata ingelisimamiwa na Chadema tungeshinda?
Acheni kujificha kwenye shamba la Mihogo inayo chipua. Ukweli timu za bongo hazikosi sababu leo hii Jamiiforum ndo kisima cha habari na uchambuzi mzuri tunakuja na hoja au majibu mepesi kabisa. Tumepoteza sababu ya CCM. Mnajua kufuzu tumebebwa na Uganda na baada ya kuongezwa timu kuwa 24.
Polepole alisema T stars kwenda afcon ni juhudi za awamu ya Tano.... Kwahiyo tulia hivyohivyo
Kabisa katika mambo yanakera ni haya, mimi sina chama lakini hii tabia ya wanasiasa kuingilia team hasa wanapokuwa wameona kuna fursa itaturudisha nyuma sana na Captain wetu akanasa kwenye mtego akaanza tunaishukuru serikali ya awamu ya tano ya JPM nikajuwa hapo tu basi kwisha kazi. Unamshukuru kwa lipi hebu tumuulize? kawapa pesa no, ndio kwanza bakuli mnatembeza badala ya kushukuru wachezaji na makocha na washabiki unaanza kuleta siasa turudi tukapige kura serikali za mitaa tu. sijawahi kusikia captain wa mfano team ya England akisema tunamshukuru malkia na waziri mkuu ndio level yetu iko wapi siasa za kijinga katika kila kitu. michezo ikae mbali na siasa jamani unataka kuchangia peleka TFF. Mpaka bunge limehamia huko ujinga mtupu na naomba tupigwe mpaka na wakenya ujinga mtupu.Na TTCL...na mengine mengi...mbele wanatanguliza neno CCM wakati ni mali yetu wote kwa kodi zetu sisi!
Wanakosea sana...watakosa support ya umma wote maana tuna itikadi tofauti!
Michezo waiache,waiendeshe kwa sura ya kitaifa bila siasa ya vyama ndani...
Walivyo sikio la kufa,hawatakaa waelewe chochote!
si tunasema league yetu bora Africa mashariki? Burundi wazuri, Uganda wazuri hata wa Kenya bora kuliko sisi na league zao mbaya kwa mujibu wetuTatizo ni ligi yetu tu period
wapumbavu sanaYani timu full u ccm.Hebu kamsikilize Steve Nyerere huko Kwa Millard Ayo,inashangaza kwakweli
Kwakweli wanakera sanaSteve Nyerere pia yupo Egypt,hayo maneno yake ss aah ni hovyoooo.Kamsikili IG Kwa Millard Ayo inashangaza kwakweli
Senegal tumemaliza kazi, tukutane next match mkenya mwenzangu.Nitakuwa nashabikia timu zote zitakazocheza dhidi ya Taifa Stars.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Mimi naipa nafasi taifa stars kuwa bingwa
At least wana wachezaji abroadsi tunasema league yetu bora Africa mashariki? Burundi wazuri, Uganda wazuri hata wa Kenya bora kuliko sisi na league zao mbaya kwa mujibu wetu
Hawategemei viingilio vya mlangoni..Aisee Africa ni maskini. Uwanja mtupu kabisa. Viti vipo wazi watu hamna na hii ni kutokana na ukosefu wa pesa. Hii ni hasara kwa waandaaji.