2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Wakiacha kuingiza siasa kwenye timu inawezekana otherwise anaeza asipate hata goli moja.
 
Senegal-9
Algeria-6
Kenya-3
Tanzania-0

HUO NDIO UTAKUWA MSIMAMO WA KUNDI HILI.
 
Ndoto kama hizi huwa ni hatari kwa afya ya ubongo, unaweza kugombana na mkeo bure kisa ramli chonganishi hizi ........haya amka ukaoge kwanza [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Angola wanacheza na timu nyepesi mno ila wanacheza kama Twiga stars
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…