Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Mnaiukuza sana timu yenu ya taifa ya awamu ya 5
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Paw nimepinga na huyu Baba Mtakatifu juu ya hii staaz, ninahaki ya kuvurumishia matusi mpaka vioo vya simu za huaweei vivunjike na isihesabiwe nimevunja sheria na kanuni za JFNaamini itakuwa wa kwanza kunipa mrejesho baada ya mechi za magroup kuisha
Mnaiukuza sana timu yenu ya taifa ya awamu ya 5
Aiseee Naona ume beti vzr kweli
HahahahahBadae mtanitafuta niwabetie mikeka yenu
Yeye na hilo dudu kwenye avatar yako nani afadhali?Ivory coast Coach wao anamuonekano mbaya sana. Utafikiri mkulima bhana. Hiyo T shirt alovaa utafikiri zile za 500, 500 za manzese.
Kupata vichekesho kama hivi tuma neno VICHEKESHO kwenda namba 15006
Ivory coast na South Africa wamecheza mpira mzuri sana hili ndio soka
Stars ni timu ya soka au mfano wa timu ya soka hahahaha ngoja Kenya wawafundishe adabu nitacheka mbayaaWanaupiga mwingi kama Taifa Stars?
Kichekesho!!!!!!Hivi unajua taifa star wamecheza mpira mzur kuliko kenya