2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Wakiacha kuingiza siasa kwenye timu inawezekana otherwise anaeza asipate hata goli moja.
 
Kichekesho!!!!!!Hivi unajua taifa star wamecheza mpira mzur kuliko kenya

Statistics zinasema hivii :

Screenshot_20190624-195739.jpeg


VS

Screenshot_20190624-195814.jpeg
 
Senegal-9
Algeria-6
Kenya-3
Tanzania-0

HUO NDIO UTAKUWA MSIMAMO WA KUNDI HILI.
 
Ndoto kama hizi huwa ni hatari kwa afya ya ubongo, unaweza kugombana na mkeo bure kisa ramli chonganishi hizi ........haya amka ukaoge kwanza [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Angola wanacheza na timu nyepesi mno ila wanacheza kama Twiga stars
 
Back
Top Bottom