Napenda mpira mpaka naumwa,since nikiwa mtoto kindergatten. Yanga damu damu.
Hapo kwenye yanga sasa, ushaanza kutia chai sabuni ya tubakie hukuhuku kwa Amunike. HhhhhhhhhhhhNapenda mpira mpaka naumwa,since nikiwa mtoto kindergatten. Yanga damu damu.
Manchester United. Damu damu. Ije mvua lije jua.[emoji51][emoji51][emoji51]
Na ulaya timu gani
Dah nilitegemea jibu kama hiliManchester United. Damu damu. Ije mvua lije jua.
yaani mkuu me na ww tuko pamoja naona me pia Manchester United die hard fan.Manchester United. Damu damu. Ije mvua lije jua.
Timu ya mkoa wako ni ipi nayo?Manchester United. Damu damu. Ije mvua lije jua.
Kwa nini ulitegemea jibu hili?Wewe upo Chelsea nini ?Dah nilitegemea jibu kama hili
Haya bhana
Pamba ya Mwanza wana TP lindanda. Ilishakufa. Kipindi kile nipo mtoto ilikuwa fireeeeee.Timu y
Timu ya mkoa wako ni ipi nayo?
Mabingwa wa ulayaKwa nini ulitegemea jibu hili?Wewe upo Chelsea nini ?
Wewe Liverpool. Haya bwana. But why ulitegemea mimi man united?Mabingwa wa ulaya
Wala sijui habari za mikeka lakini kiwango cha REFA si cha mechi kama hii.Mkeka upo hoi nini ?
Kwa kuwa wewe ni jinsia ya ke na walio wengi wenu ni fans wa UnitedWewe Liverpool. Haya bwana. But why ulitegemea mimi man united?