2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Ndo maana Johan Cruyff ,Mungu angekuwa anasaidia team zishinde basi zingekuwaga zinatoka draw. Maana team zote mbili wanamwomba Mungu. Mind you that Mungu hana upendeleo.
Yaani hata nikishindana na shetani, au atheist, bado Mungu atakuwa hanipendelei mimi ninayemkubali? Huyo Mungu atakuwa sio 'fair'.
 
Ila timu ya Tanzania haina ball control kabisa; utadhani Arsenal ! Nilimaliza kuangalia mpira wa FIFA World cup wanawake kati ya England na Norway, kuingia hapo Koora live kuowaona Kenya na Tanzania nakuwa kama naangalia watoto wa shule ya msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…