2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Ila timu ya Tanzania haina ball control kabisa; utadhani Arsenal ! Nilimaliza kuangalia mpira wa FIFA World cup wanawake kati ya England na Norway, kuingia hapo Koora live kuowaona Kenya na Tanzania nakuwa kama naangalia watoto wa shule ya msingi.
 
Mh. Tutapigwa goli ngapi? Tujibu hata kwa vidole tu
IMG_20190628_004939.jpg
 
Back
Top Bottom