2019 Africa Cup of Nations Special Thread

@lizabon pita huku tusaidiane kuandaa namna ya kuwapokea wajamaa waliokong'otwa kipigo cha mbwa koko wakachakaa chakari.
 
Hatimae timu ya chama imefungwa.Haya mambo ya kila kitu kufanywa kuwa ni siasa ndio matokeo yake.
Dua zangu siku zote ni wanasiasa kujiweka mbali na utaalam.Hapo tutapiga hatua
Tatizo uwezo mdogo wa kufikiri. Hata kama wangetaka kutumia mashindano haya kama kete yao ya kisiasa wangeandaa mpango mkakati mzuri wa wataalamu na wao wangejisifu mwishooni huko, sasa wao wameanza kiwagawa wananchi kabla hata ya mechi kuchezwa.
 
Kwa kweli Tanzania tunakatisha tamaa mno kwenye medani za kimataifa, bora hata kuangalia miziki ya singeli tu.
 
Asante Kenya, Harambeee stars oyeeee..
Mmepiga mtekaji mpaka kachakaa dadeki ”TATU” kabaki na makalio yake kwa warabu afanye nao biashara sasa alete hela IKULU tukalipie Koro- Show ndio uzalendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…