2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Tz ni nchi ya kwanza ambayo wananchi wamejigawa kwenye team yao ya taifa kushabikia


...michezo na hasa soka huunganisha Taifa (kwa baadhi ya nchi) lakini kwetu ni tofauti, wanasiasa wanajitokeza dakika za mwisho na kuanza kuleta mvurugo wa kiitikadi, ilhali soka ina sheria zake 17 zinazotuvua makoti na sare za vyama vya siasa.
Pumbavu sana wanasiasa wa CCM
 
Kifo cha kike kipo Vipi?
 

Bashite Stars,matacou yenu!

Hongera Harambee Stars!

Cc MK254!
 
Watanzania mniombee! Nani akuombee wewe kubwa la majizi, fisadi, muongo, mtekaji, mtesaji, nduli, dikteta na MUUAJI!? 😳

 


....tumejitenga ili timu iweze kutekeleza ilani ya CCM na kushinda kama vili chama kinavyoshinda, bahati mbaya sana walichelewa kuwapeleka kina Jaji Semistocles Kaijage, na Athuman Kihamia wakatangaze matokeo.
 
Taifa stars ndio team ya wapi?Iliishia huko 1979 ..hii ya juzi na jana na leo ni watumishi wa serikali na wanachama wa CCM walikuwa uwanjani.Tuliambiwa na Mkuu wa mkoa wa Dar...kuwa wanamwakilisha Raisi na chama Tawala.tunashukuru kwa matokeo maana tunazidi kuelewa kuwa kumbe Mungu wao si wetu ..
 
Siwezi acha shangilia hii timu kamwe
 
Si kwa,ba watunwanafurahi kufungwa kwa timi bali wanafurahi kuna kundi limekomolewa kundi hili lilipania kuutumia uushindi wa leo kama wangeshinda kuwakomoa wenzao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…