2019 Africa Cup of Nations Special Thread

MASHAMBULIZI YA MARA KWA MARA LANGONI MWA TAIFA STARS

Your browser is not able to display this video.
 
MASHAMBULIZI YA MARA KWA MARA LANGONI MWA TAIFA STARS YANENDELEA KWA SPIDI YA RADI

Your browser is not able to display this video.
 
Vipi hapo Lumumba ccm stars mnaongoza kwa goli ngapi mkuu
 
Timu haina mabeki.
Defensive skills ni zero.

Kuna kajamaa kapo pembeni huko namba 2 simjui jina anakimbizana na wachezaji tu....

Mwisho wa siku kanachoka...kanapitwa.

Mpira unapigwa kona hakuna mabeki wa kucheza kichwa. Wote kwenye kona wanasimama sehemu moja mmoja akipitwa na mpira wamepitwa wote.

Hili nililiona toka mechi ya Senegal.


Receiving skills kwa wachezaji wetu hakuna....unapokea mpira unachukuliwa na adui....hawajiamini...

Munkari wa wachezaji haupo...hawachezi kama wanawawakilisha Watanzania kama mimi mwenye uchingu na jina Tanzania..nikifungwa naona aibu...wao hawana morali wanacheza kama wapo kwenye mechi ya mchangani...

Siujui mpira ila hawa wachezaji wetu wakirudi wafunze basics za mpira...kutuliza kukaba...kupokea...hakuna vyote.

Kocha naye hata hapnyeshi kama ni kocha wa timu inayohitaji kusaodiwa uwanjani.

Na hili kalionyesha toka mechi ya Senegal...huyu jamaa hana uchungu na timu yetu ok sio Mtanzania basi angekuwa na uchungu na carrier yake...anaaibishwa uwanjani.

Cc sumbai
 
Wanatia aibu.
 
ALGERIA WANAPATA NAFASI NYINGI MNO LANGONI MWA TAIFA STARS, MASHAMBULIZI NI MAKALI

Your browser is not able to display this video.
 
Poleni watanzania wenzangu. Hivi ni lazima nasisi tujue mpira?

I think tungewekeza kwenye michezo ambayo tupo good.
 
Poleni watanzania wenzangu. Hivi ni lazima nasisi tujue mpira?

I think tungewekeza kwenye michezo ambayo tupo good.
Upi sasa tupo good?...michezo mikubwa.

Footbal...riadha...basketball...

Zinauza nchi.

Mingine kama ngumi haziuzi nchi kivile ni mafanikio ya mtu mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…