Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
MASHAMBULIZI YA MARA KWA MARA LANGONI MWA TAIFA STARS
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afu Lubuva anaipitisha Stars
Usimsahau jechaAfu Lubuva anaipitisha Stars
right of thought and speech. Hapa sio imaya ya watu wasiojulikana!!!Upo nchi gani?
Vipi hapo Lumumba ccm stars mnaongoza kwa goli ngapi mkuuChadema ni watu wanaokwenda na matukio hivyo tutegemee kabisa mjadala wa ubunge wa Tundu Lisu kufungwa leo.
Matokeo ya leo pale Cairo yanaweza kupelekea Chadema kuanza tena kuijadili kamati ya akina Haji Manara na kumsahau kipenzi chao Tundu Lisu.
Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
@daby hii timu inahitaji maombi saana na miujiza.
Kwani shida ni nini haswa?? Paka tunafungwa hivi??
Alafu baada ya miaka30 watassema dah tulivyo fuz afcon 2019 tulicheza saana kama wale wakina pita tino na pondamali wanavyo jisifu kucheza afcon kisha haawakuenda next stage
Wanatia aibu.Timu haina mabeki.
Defensive skills ni zero.
Kuna kajamaa kapo pembeni huko namba 2 simjui jina anakimbizana na wachezaji tu....
Mwisho wa siku kanachoka...kanapitwa.
Mpira unapigwa kona hakuna mabeki wa kucheza kichwa. Wote kwenye kona wanasimama sehemu moja mmoja akipitwa na mpira wamepitwa wote.
Hili nililiona toka mechi ya Senegal.
Receiving skills kwa wachezaji wetu hakuna....unapokea mpira unachukuliwa na adui....hawajiamini...
Munkari wa wachezaji haupo...hawachezi kama wanawawakilisha Watanzania kama mimi mwenye uchingu na jina Tanzania..nikifungwa naona aibu...wao hawana morali wanacheza kama wapo kwenye mechi ya mchangani...
Siujui mpira ila hawa wachezaji wetu wakirudi wafunze basics za mpira...kutuliza kukaba...kupokea...hakuna vyote.
Kocha naye hata hapnyeshi kama ni kocha wa timu inayohitaji kusaodiwa uwanjani.
Na hili kalionyesha toka mechi ya Senegal...huyu jamaa hana uchungu na timu yetu ok sio Mtanzania basi angekuwa na uchungu na carrier yake...anaaibishwa uwanjani.
Cc sumbai
Nimecheka kifala
Timu haina mabeki.

Wote kwenye kundi wamejipigia
Itakuwa hakumuelewa sangoma wake. Alipomwambia 3 akadhani inashinda ccwBado tatu
Hadi sasa ccm 0 Algeria 3Mtafungwa mabao saba wewe na Baba ako ila Si Taifa Stars.
Upi sasa tupo good?...michezo mikubwa.Poleni watanzania wenzangu. Hivi ni lazima nasisi tujue mpira?
I think tungewekeza kwenye michezo ambayo tupo good.
Nijulishe matokeo mkuu..niko milimani huku..Ndio mpira huo!