Matokeo 3 -0Nijulishe matokeo mkuu..niko milimani huku
Mkenya naye kapigwa 3 na Senegal.Kenya na Senegal vipi? Kenya wako juu?
Michuano ijayo tutafanya vizuri!Mzee Mwinyi alibatilisha usemi akasema Wendawazimu wengine hawaruhusu vichwa vyao kuwa majaribio
Sie ni Gunia la mashineni kila mtu anajikung’utia tu, awe na kiroba cha mahindi asiwe nacho , akijisikia tu anakunguta ule mgunia

[emoji23][emoji23][emoji23]Huu mchezo hauhitaji hasira.
huu mchezo hauhitaji hasira
View attachment 1144262