2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Mzee Mwinyi alibatilisha usemi akasema Wendawazimu wengine hawaruhusu vichwa vyao kuwa majaribio

Sie ni Gunia la mashineni kila mtu anajikung’utia tu, awe na kiroba cha mahindi asiwe nacho , akijisikia tu anakunguta ule mgunia
Michuano ijayo tutafanya vizuri!
 
Wananchi wenyewe wengi wao hawajui hata nchi yao inacheza leo,kumepoa sana.
 
Huu mchezo hauhitaji hasira.

huu mchezo hauhitaji hasira
IMG_7180.JPG
 
Back
Top Bottom