Pumbavu zako kwahyo wakupige life bani ili tukose mawazo yako umu janvini?Morocco
Mods wanilime lifeban kama morocco asipobeba afcon
Ngoja tusubiri maana hii hatua huwa ina makali yake...Zahera anamuaibisha Madagascar jana nilikuwa namsikia Rais wao Felix Tshisekedi akiongea na kocha mkuu akiwapongeza kawaahidi mifedha mingi.
Alafu Tunisia nina wasiwasi mkubwa anamchapa Ghana
Ndoo inabaki misri
Kombe halitoki pale
Sure win game ni Senegal, Egypt na AlgeriaNgoja tusubiri maana hii hatua huwa ina makali yake...
Hapa tupo pamoja.Morocco
Mods wanilime lifeban kama morocco asipobeba afcon
Hao Madagascar sijui wametokea wapi naskia Rais wao kawakodishia Airbus A380 wakaangalie mechiTulianza na timu 24 sasa zimepungua nakubaki timu 16 ambazo kwa kipindi cha miaka ya nyuma ndiyo zilikuwa idadi ya timu zinazo qualify kwenye mshindano ya Afcon. Sasa kwa lugha nyingine nikama vile Afcon ya mwaka huu ndo inaanza rasmi.
Atua ya 16 bora itaanza tarehe 5 siku ya ijumaa ambapo zitapigwa game mbili. Hii hapa ratiba kamili ya 16 bora.
Friday 5
Morocco vs Benin
Uganda vs Senegal
Saturday 6
Nigeria vs Cameroon
Egypt vs South Africa
Sunday 7
Madagascar vs DR Congo
Algeria vs Guinea
Monday 8
Mali vs Ivory Coast
Ghana vs Tunisia
Sio kama naichukia Uganda ila naona safari yao imewadia, Nigeria bye bye , Congo kwaeli ya kuonana, South Africa msalimieni Sana Mh. Rais Ramaphosa, Benin tutakutana tena mungu akipenda, Guinea tuliwapenda sana ila mungu kawapenda zaidi. Mali vs Ivory Coast, Ghana vs Tunisia hizo mechi wapenzi wakubet msiweke pesa yenu hapo nipagumu kweli kweli.
Konda boy team wameanza kuludi kwa mafungu mafungu mkuu.Ile timu ya Konda Boy hujaiweka!
Home and away kwenye Nchi ya watu? Ni game moja tu mkuu biashara inaishia hapo.Naomba nieleweshe..inapigwa game moja kwa maana ya mtoano au kuna marudio? Home and away?