2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

upo sahihi kabisa sijaona timu yenye mpira wa kasi na wachezaji wenye skills za kutafuta nafasi na kuwahadaa mabeki na makipa kama ALGERIA
 
Kwenye timu za warabu tatu zitaingia nusu fainali ila fainali ni senegal na moja kati ya timu za kiarabu.
 
Zahera anamuaibisha Madagascar jana nilikuwa namsikia Rais wao Felix Tshisekedi akiongea na kocha mkuu akiwapongeza kawaahidi mifedha mingi.

Alafu Tunisia nina wasiwasi mkubwa anamchapa Ghana
Ngoja tusubiri maana hii hatua huwa ina makali yake...
 
Morocco

Mods wanilime lifeban kama morocco asipobeba afcon
Hapa tupo pamoja.
Mie nimemuona Morocco kwakweli.
Mwenyeji namuona mwepesi sana. Mpaka sasa timu iliyotisha kwa mpira mzuri ni Morocco japo wameshinda goli 1 match zote ila hata katika kundi lake timu zilikuwa ngumu.
 
Huu niutabili kama utabili mwingine kunackunawatu watajatukan humu ndan
 
Tulianza na timu 24 sasa zimepungua nakubaki timu 16 ambazo kwa kipindi cha miaka ya nyuma ndiyo zilikuwa idadi ya timu zinazo qualify kwenye mshindano ya Afcon. Sasa kwa lugha nyingine nikama vile Afcon ya mwaka huu ndo inaanza rasmi.

Atua ya 16 bora itaanza tarehe 5 siku ya ijumaa ambapo zitapigwa game mbili. Hii hapa ratiba kamili ya 16 bora.

Friday 5
Morocco vs Benin
Uganda vs Senegal

Saturday 6
Nigeria vs Cameroon
Egypt vs South Africa

Sunday 7
Madagascar vs DR Congo
Algeria vs Guinea

Monday 8
Mali vs Ivory Coast
Ghana vs Tunisia

Sio kama naichukia Uganda ila naona safari yao imewadia, Nigeria bye bye , Congo kwaeli ya kuonana, South Africa msalimieni Sana Mh. Rais Ramaphosa, Benin tutakutana tena mungu akipenda, Guinea tuliwapenda sana ila mungu kawapenda zaidi. Mali vs Ivory Coast, Ghana vs Tunisia hizo mechi wapenzi wakubet msiweke pesa yenu hapo nipagumu kweli kweli.
 
Hao Madagascar sijui wametokea wapi naskia Rais wao kawakodishia Airbus A380 wakaangalie mechi
 
Naomba nieleweshe..inapigwa game moja kwa maana ya mtoano au kuna marudio? Home and away?
 
Back
Top Bottom