2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Hao Madagascar sijui wametokea wapi naskia Rais wao kawakodishia Airbus A380 wakaangalie mechi
Aje aombe na ile airbus yetu iliyoko chato wapeleke mashabiki wengi zaidi.
 
Baghdad bhuneja.... Aaah aaah aah jina la kibabe saana...

Ndugu zangu uganda ni rasmi sasa... Ila wengine lolote laweza tokea
 
Cameroon hana uwezo wa kumfunga Nigeria, Ghana wamekuwa midobwedo sana siku hizi
 
Nauliza jamani, hii round ya 16 kuna kurudiana au atakayepigwa ndio anatoka moja kwa moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…