2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Comment kama hizi ndio zinatakiwa....
Hatujacheza game hata moja bado eti watu washatulinganisha kwamba kiwango chetu ni duni kuliko Zimbambwe?? Huo ni ukambuga wa hali ya juu...

Kuna Watanzania wenzetu wanaomba tufungwe vibaya sana

Wengine wamebet dhidi ya Tanzania

Kama ni kufungwa tufungwe ila inatakiwa tupambane vikali, nafasi nzuri ya wachezaji kuonekana na kujitengenezea soko na Taifa la Tanzania kupata heshima
 
Imebidi nicheki squad ya Zimbabwe, wanacheza mostly South Africa pia ni regular Starters.

Tanzania tujitahidi wachezaji watoke nje hawa wa Lipuli, Mbao uwezo wao mdogo sana.
Bro Kiatu mimi hata sikuelewi kwa kweli....Yes nafahamu hulazimishi nikuelewe...Ila mimi naona hii comment yako ingesubiri1st game ya Taifa Stars tuone watachezaje.
 
Imebidi nicheki squad ya Zimbabwe, wanacheza mostly South Africa pia ni regular Starters.

Tanzania tujitahidi wachezaji watoke nje hawa wa Lipuli, Mbao uwezo wao mdogo sana.

Michuano kama hii sasa ndio inaweza kurahishisha jambo hilo kufanikiwa {Wachezaji watoke nje} kwa kupambana vikali ili wanunuliwe na vilabu vya nje

Sisi kama mashabiki inabidi tuwe nyuma ya timu yetu, hata kama kiwango chetu ni kidogo kama baadhi wanavyosema
 
Wakuu naomba aliye online anijuze hivi Mechi ya Taifa stars na senegal inachezwa leo? Nimetoa macho hapa naangalia Dstv hata tu kuizungumzia Tanzania hawaizungumzii na gemu ya Zimbabwe na Misri imeshakwisha msaada tafadhari
 
Bro Kiatu mimi hata sikuelewi kwa kweli....Yes nafahamu hulazimishi nikuelewe...Ila mimi naona hii comment yako ingesubiri1st game ya Taifa Stars tuone watachezaje.
Mkuu hii mechi imeshachezwa? Taifa stars Senegal, mbona Sss hawazungumzii chochote kuhusu Tanzania?
 
Wakuu naomba aliye online anijuze hivi Mechi ya Taifa stars na senegal inachezwa leo? Nimetoa macho hapa naangalia Dstv hata tu kuizungumzia Tanzania hawaizungumzii na gemu ya Zimbabwe na Misri imeshakwisha msaada tafadhari
Jumapili saa mbili kamili usiku kwa saa za Tanzania nyumbani
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Hiyo Channel ndiyo ilinitoa matongotongo 1994 Kombe la Dunia.Nilikuwa sijawahi kuona Mpira live.Rafiki yangu mmoja tukiwa wadogo sana baba yake alikuwa na satellite dish akanialika kwenda kwao kuangalia mpira live mechi ya Italia na Brazil nadhani ilikuwa fainali akina Dino Baggio,Roberto Baggio,Bebeto,Dunga,Romario,nk.R. Baggio alipaisha penati.....
 
kwa nini muheshimiwa umeamua kuwa muasi au una bifu na muheshimiwa makonda?
Ila kweli Taifa star ikipita tutaambiwa juhudi ya awamu ya 5 na vijembe vingi naona turudi tu baada ya game 3, nachukia wanasiasa akiingilia kitu chochote cha kitaifa na kufanya cha kisiasa na mapenzi yanapungua.
 
Plus best loosers yaani mshindi wa tatu mzuri kutoka makundi manne.
Kwa maana hiyo ni kwamba kuna makundi yatatoa timu 3 na mengine 2
Fursa kwa Stars hii, wapige kazi vizuri watasonga mbele
 
Kwa dakika hizi chache nilizoshuhudia Afcon,
Nisi mumunye maneno, Nina mashaka na kiwango chetu hata kulinganisha na Hawa jirani zetu Zimbabwe,
I'm sorry to say that, wametuzidi mbali.
Wana Kasi, wanaonana, Sina hakika na wakwetu !!!!!!
Naomba mnitoe wasiwasi.
wa Zimbabwe wazuri wametuzidi sana kiukweli, wamefungwa lakini wamepambana na wanacheza vizuri wana speed na hatari mbele hasa upande wa kushoto. nilikuwa nadhani ndio level zetu lakini baada ya kuwaona turudi labda kwa Namibia na Mauritania
 
Egypt vs Zimbabwe 1-0- All Goals & Extended Highlights - CAF 2019
 
Back
Top Bottom