Observer
JF HQ
- Oct 18, 2006
- 189
- 299
- Thread starter
- #161
Comment kama hizi ndio zinatakiwa....
Hatujacheza game hata moja bado eti watu washatulinganisha kwamba kiwango chetu ni duni kuliko Zimbambwe?? Huo ni ukambuga wa hali ya juu...
Kuna Watanzania wenzetu wanaomba tufungwe vibaya sana
Wengine wamebet dhidi ya Tanzania
Kama ni kufungwa tufungwe ila inatakiwa tupambane vikali, nafasi nzuri ya wachezaji kuonekana na kujitengenezea soko na Taifa la Tanzania kupata heshima