2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Mlimtumia Lissu kama mbinu ya kusahaulisha watu magoli tuliyopigwa. Leo unawasawishi watu waendelee kujikita kumjadili tundu ili wasahau magoli mapya yanayokuja?
 
Chadema ni watu wanaokwenda na matukio hivyo tutegemee kabisa mjadala wa ubunge wa Tundu Lisu kufungwa leo.

Matokeo ya leo pale Cairo yanaweza kupelekea Chadema kuanza tena kuijadili kamati ya akina Haji Manara na kumsahau kipenzi chao Tundu Lisu.

Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Rc bado yupo ijiputi akieneza uhasama?
 
Chadema ni watu wanaokwenda na matukio hivyo tutegemee kabisa mjadala wa ubunge wa Tundu Lisu kufungwa leo.

Matokeo ya leo pale Cairo yanaweza kupelekea Chadema kuanza tena kuijadili kamati ya akina Haji Manara na kumsahau kipenzi chao Tundu Lisu.

Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Aisee ccm chama cha hatari sana ,yaani kumbe mshamba na limbukeni huwa anazalisha washamba na malimbukeni wadogowadogo kuanzia mawaziri, naibu ,wakuu wa mikoa ,wilaya na majuha wa mtandaoni kama mleta mada .Anyway vipi 2020 kwa juhudi unazoonyesha mtandaoni hawakukati tena kura za maoni ccm kugombea ubunge kama walivyokufanyia 2015 ?
 
hakuna timu ambayo sijawahi kuvutiwa na mpira wao kama hawa wasouth.

jamaa kinachowabeba wana hela lakin mpira wao wa kawaida sana.

Sanasana wamekuwa wakijaza mabishomabisho tu (ukiondoa kile kikosi cha 1996 cha kina masinga, batlett, khumalo).
 
Siwezi kumudu gharama za uzalendo katika awamu hii.

Screenshot_2019-07-01-19-34-23-1.png
 
hakuna timu ambayo sijawahi kuvutiwa na mpira wao kama hawa wasouth.

jamaa kinachowabeba wana hela lakin mpira wao wa kawaida sana.

Sanasana wamekuwa wakijaza mabishomabisho tu (ukiondoa kile kikosi cha 1996 cha kina masinga, batlett, khumalo).
Ngapi ngapi huko mechi inayoendelea muda huu?
 
Chadema ni watu wanaokwenda na matukio hivyo tutegemee kabisa mjadala wa ubunge wa Tundu Lisu kufungwa leo.

Matokeo ya leo pale Cairo yanaweza kupelekea Chadema kuanza tena kuijadili kamati ya akina Haji Manara na kumsahau kipenzi chao Tundu Lisu.

Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Wewe mimi sifahamu kama ME au KE?
 
Ni kweli kabisa.
Ila hawa Egypt waje wakutane na Morocco watapigwa kama ngoma. Naona timu yao nyepesi sana kwakweli. Unyumbani ndio unawabeba sana. Mie mpaka sasa Morocco ndio nampa ubingwa
Morocco mbona wepesi sana ungeniambia hata Algeria ningekuelewa
 
'''habari je ni kundi gani litatoa bingwa kitika michuano hii ya. Afcon misri ,kundi gani limeonyesha ushindani,alijaonyesha ushindani,timu au mchezaji gani mpaka sasa ni bora
 
Chadema ni watu wanaokwenda na matukio hivyo tutegemee kabisa mjadala wa ubunge wa Tundu Lisu kufungwa leo.

Matokeo ya leo pale Cairo yanaweza kupelekea Chadema kuanza tena kuijadili kamati ya akina Haji Manara na kumsahau kipenzi chao Tundu Lisu.

Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Nani asahaulishwe na timu ya kipumbavu ccm stars ni wapumbavu na watanzania hatutaki hats kuiskia labda wewe na huyo shoga bashite tako kubwa aliegongwa na marehem sita.
 
Chadema ni watu wanaokwenda na matukio hivyo tutegemee kabisa mjadala wa ubunge wa Tundu Lisu kufungwa leo.

Matokeo ya leo pale Cairo yanaweza kupelekea Chadema kuanza tena kuijadili kamati ya akina Haji Manara na kumsahau kipenzi chao Tundu Lisu.

Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Ulichokiandika hapa , wazazi wako wakipata bahati ya kukiona watabaki wakisikitika tu.
 
Back
Top Bottom