Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada wacha umbea,litaje hilo tusi alilotukanwa hapa.Kabisa mkuu, yenyewe yamekazana kumtukana Makonda
Rc bado yupo ijiputi akieneza uhasama?Chadema ni watu wanaokwenda na matukio hivyo tutegemee kabisa mjadala wa ubunge wa Tundu Lisu kufungwa leo.
Matokeo ya leo pale Cairo yanaweza kupelekea Chadema kuanza tena kuijadili kamati ya akina Haji Manara na kumsahau kipenzi chao Tundu Lisu.
Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
wakati anaenda aliaga ila wakati wa kurudi hatujasikia au ndio kaenda kushangaa mapramidi?Rc bado yupo ijiputi akieneza uhasama?
Aisee ccm chama cha hatari sana ,yaani kumbe mshamba na limbukeni huwa anazalisha washamba na malimbukeni wadogowadogo kuanzia mawaziri, naibu ,wakuu wa mikoa ,wilaya na majuha wa mtandaoni kama mleta mada .Anyway vipi 2020 kwa juhudi unazoonyesha mtandaoni hawakukati tena kura za maoni ccm kugombea ubunge kama walivyokufanyia 2015 ?Chadema ni watu wanaokwenda na matukio hivyo tutegemee kabisa mjadala wa ubunge wa Tundu Lisu kufungwa leo.
Matokeo ya leo pale Cairo yanaweza kupelekea Chadema kuanza tena kuijadili kamati ya akina Haji Manara na kumsahau kipenzi chao Tundu Lisu.
Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Nimeshabet tutafungwa 7 na Algeria, tukifungwa tano ntasikitika sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngapi ngapi huko mechi inayoendelea muda huu?hakuna timu ambayo sijawahi kuvutiwa na mpira wao kama hawa wasouth.
jamaa kinachowabeba wana hela lakin mpira wao wa kawaida sana.
Sanasana wamekuwa wakijaza mabishomabisho tu (ukiondoa kile kikosi cha 1996 cha kina masinga, batlett, khumalo).
Wewe mimi sifahamu kama ME au KE?Chadema ni watu wanaokwenda na matukio hivyo tutegemee kabisa mjadala wa ubunge wa Tundu Lisu kufungwa leo.
Matokeo ya leo pale Cairo yanaweza kupelekea Chadema kuanza tena kuijadili kamati ya akina Haji Manara na kumsahau kipenzi chao Tundu Lisu.
Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Morocco mbona wepesi sana ungeniambia hata Algeria ningekuelewaNi kweli kabisa.
Ila hawa Egypt waje wakutane na Morocco watapigwa kama ngoma. Naona timu yao nyepesi sana kwakweli. Unyumbani ndio unawabeba sana. Mie mpaka sasa Morocco ndio nampa ubingwa
Mmeshaanza!Matokeo niliyonayo mpaka hivi sasa kutoka katika Nujumu ( Tabiri ) ni kwamba Tanzania 0 na Algeria 13.
Ngapi ngapi huko mechi inayoendelea muda huu?
Nani asahaulishwe na timu ya kipumbavu ccm stars ni wapumbavu na watanzania hatutaki hats kuiskia labda wewe na huyo shoga bashite tako kubwa aliegongwa na marehem sita.Chadema ni watu wanaokwenda na matukio hivyo tutegemee kabisa mjadala wa ubunge wa Tundu Lisu kufungwa leo.
Matokeo ya leo pale Cairo yanaweza kupelekea Chadema kuanza tena kuijadili kamati ya akina Haji Manara na kumsahau kipenzi chao Tundu Lisu.
Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Ulichokiandika hapa , wazazi wako wakipata bahati ya kukiona watabaki wakisikitika tu.Chadema ni watu wanaokwenda na matukio hivyo tutegemee kabisa mjadala wa ubunge wa Tundu Lisu kufungwa leo.
Matokeo ya leo pale Cairo yanaweza kupelekea Chadema kuanza tena kuijadili kamati ya akina Haji Manara na kumsahau kipenzi chao Tundu Lisu.
Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!