Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
8. La FFU na Watu WasiojulikanaAlgeria piga hao kenge wa Lumumba bao 7 kwa mpangilio ufuatao:
1 la Bashite
2 la Jiwe
3 la Karia
4 la TFF
5 la CCM
6 la Policcm
7 la NEC
2Kwani bado goli ngapi wakuu?
Kwani hakuna sheria ya kuturuhusu tuachane na mechi is like tumepigwa KO. Anyway mungu (gods) ibariki Taifa stars.Taifa stars ndyo timu iliyofugwa mechi zote kwa gori nyingi kuliko timu yoyote.
Kwa kifupi taifa stars ni timu kibonde kuliko timu zote zinazoshiriki afcon mwaka huu..
Hapa tunasubiri mvua ya magori kipindi cha pili.
Itakuwa alikosa flaiti si unajua imeenda kutalii Burigi!Labda Plan B Jecha yupo bench.
Tuliambiwa kila goli linaashiria kutimizwa kwa Ilani ya watu wasiojulikana. Lazima tushangilieNaona unashangilia tuu hapa
Tumekutana na timu mbili za kiwango cha dunia.Taifa stars ndyo timu iliyofugwa mechi zote kwa gori nyingi kuliko timu yoyote.
Kwa kifupi taifa stars ni timu kibonde kuliko timu zote zinazoshiriki afcon mwaka huu..
Hapa tunasubiri mvua ya magori kipindi cha pili.