Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Acha tu mkuu nilipata ganzi kabisa mafala wamesepa na 200k hao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Acha tu mkuu nilipata ganzi kabisa mafala wamesepa na 200k hao
Ni kipa wa timu ya daraja la pili Ligue 2 ufaransaHuyu kipa amaukonga moyo wangu sana..
Hopefully, atalidaka shuti la Diatta.
Anafaa kucheza EPLNi kipa wa timu ya daraja la pili Ligue 2 ufaransa
Huyu kipa amaukonga moyo wangu sana..
Hopefully, atalidaka shuti la Diatta.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Yule bwanamdogo hari
Huyu bwana mdogo anaendeleaje huko [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji41][emoji1][emoji1][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
HahahahahahaMkuu tupo hapa tunakusikiliza
Hongera umewahi kuolewa na umewahi kuzaa, kama una malengo mazuri ukifika 35 uwe ushamaliza kuzaa watoto unaowataka na unabaki kula bata tu.Hahahahha ndo kwanza nina 32 yrs old. Hebu usinizeeshe mweh.
Basi wewe uwe mjukuu wangu wa hiari. Na ninafuraha sana kuwa nitaishi muda mrefu hadi kuona my biological wajukuu,vitukuu,vilembwe n.k.Positivity is my motto. Nakushukuru kwa kunitabiria mema. Kuitwa bibi ni baraka. Say Amen.Bibi wewe
Siku hizi science na techinolojia zimesaidia sana kuwa na uzazi salama hata mtu akiwa na +40 hapa napumnzika nikifika 40 ndo nafikiria kuongeza watoto wengine wanne.Hongera umewahi kuolewa na umewahi kuzaa, kama una malengo mazuri ukifika 35 uwe ushamaliza kuzaa watoto unaowataka na unabaki kula bata tu.
Sio vizuri kuzaa ukiwa na above 35(kwa mtazamo wangu)
Kumbuka menopause ni 45 yrs, hao 4 utawapata kwa interval gani kuanzia ukiwa 40 yrs?Siku hizi science na techinolojia zimesaidia sana kuwa na uzazi salama hata mtu akiwa na +40 hapa napumnzika nikifika 40 ndo nafikiria kuongeza watoto wengine wanne.
Mwaka mimba mwaka mtoto.Kumbuka menopause ni 45 yrs, hao 4 utawapata kwa interval gani kuanzia ukiwa 40 yrs?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mwaka mimba mwaka mtoto.
Amen. Watoto ni raha sana jamani. Inshallah Mungu ataniongezea wengine. Ninao watatu sasa hivi. Full raha.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nakushauri tu kama upo interested na serious na watoto, jitahidi uzae ukiwa below 40.
Mara nyingi huwa tunaingiza concept ya kusema kuwa maisha ni magumu na tunaamua kuzaa mtoto 1 au 2 tu, huku tukisahau umuhimu wa hao watoto hasa pindi tufikapo uzeeni.
Idadi nzuri ya watoto ni kuanzia watano. Raha yake utaipata tena endapo ukifanikiwa kuwalea vizuri na kuwatimizia mahitaji yao na kufikia ndoto zao.
Fikisha 5, hapo ndio utaukonga moyo wangu, maana ndoto yangu ni kuwa na watoto kuanzia 5Amen. Watoto ni raha sana jamani. Inshallah Mungu ataniongezea wengine. Ninao watatu sasa hivi. Full raha.
Fikisha 5, hapo ndio utaukonga moyo wangu, maana ndoto yangu ni kuwa na watoto kuanzia 5