2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Hahahahha ndo kwanza nina 32 yrs old. Hebu usinizeeshe mweh.
Hongera umewahi kuolewa na umewahi kuzaa, kama una malengo mazuri ukifika 35 uwe ushamaliza kuzaa watoto unaowataka na unabaki kula bata tu.

Sio vizuri kuzaa ukiwa na above 35(kwa mtazamo wangu)
 
Bibi wewe
Basi wewe uwe mjukuu wangu wa hiari. Na ninafuraha sana kuwa nitaishi muda mrefu hadi kuona my biological wajukuu,vitukuu,vilembwe n.k.Positivity is my motto. Nakushukuru kwa kunitabiria mema. Kuitwa bibi ni baraka. Say Amen.
 
Hongera umewahi kuolewa na umewahi kuzaa, kama una malengo mazuri ukifika 35 uwe ushamaliza kuzaa watoto unaowataka na unabaki kula bata tu.

Sio vizuri kuzaa ukiwa na above 35(kwa mtazamo wangu)
Siku hizi science na techinolojia zimesaidia sana kuwa na uzazi salama hata mtu akiwa na +40 hapa napumnzika nikifika 40 ndo nafikiria kuongeza watoto wengine wanne.
 
Kumbuka menopause ni 45 yrs, hao 4 utawapata kwa interval gani kuanzia ukiwa 40 yrs?
 
Natabiri Nigeria vs Cameroun kuwa mechi mbaya. Ila ndo hivyo lazima wacheze kukamilisha ratiba. Ila Cameroun atakwenda robo final.
 
Mwaka mimba mwaka mtoto.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Nakushauri tu kama upo interested na serious na watoto, jitahidi uzae ukiwa below 40.

Mara nyingi huwa tunaingiza concept ya kusema kuwa maisha ni magumu na tunaamua kuzaa mtoto 1 au 2 tu, huku tukisahau umuhimu wa hao watoto hasa pindi tufikapo uzeeni.

Idadi nzuri ya watoto ni kuanzia watano. Raha yake utaipata tena endapo ukifanikiwa kuwalea vizuri na kuwatimizia mahitaji yao na kufikia ndoto zao.
 
Jana Morocco kabebwa sana lakini siku zote kama ilivyo kuw bahati huwa inamuangukia yule mpambanaji na hatimae Benin akaibuka mshindi.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Nakushauri tu kama upo interested na serious na watoto, jitahidi uzae ukiwa below 40.

Mara nyingi huwa tunaingiza concept ya kusema kuwa maisha ni magumu na tunaamua kuzaa mtoto 1 au 2 tu, huku tukisahau umuhimu wa hao watoto hasa pindi tufikapo uzeeni.

Idadi nzuri ya watoto ni kuanzia watano. Raha yake utaipata tena endapo ukifanikiwa kuwalea vizuri na kuwatimizia mahitaji yao na kufikia ndoto zao.
Amen. Watoto ni raha sana jamani. Inshallah Mungu ataniongezea wengine. Ninao watatu sasa hivi. Full raha.
 
Fikisha 5, hapo ndio utaukonga moyo wangu, maana ndoto yangu ni kuwa na watoto kuanzia 5

Back to our AFCON, Super Eagles na IndomitableLions ni mechi ngumu, ila karata yangu nimeitupa kwa Indomitable Lions.
 
Fikisha 5, hapo ndio utaukonga moyo wangu, maana ndoto yangu ni kuwa na watoto kuanzia 5

Broo, Watoto watano nawaona wengi sanaaa asee, nafikiri kama mzee wangu angekua na watano sahiv wa mwisho nadhani angekua form 1
 
Back
Top Bottom